JE, KWA NINI INATUPASA SOTE KUFA?

Wakati Mungu alipomwuumba mwanadamu na kumuweka duniani, alivunja moja wapo kati ya sheria za Mungu ambayo kwamba hukumu yake ilikuwa ni mauti. Kwa sababu ya hukumu hii ya mauti uzao wake wote uliamriwa pia kufa. Hali hii ilipelekea wanadamu wote waangukiwe na laana ya mauti.

Kama tulivyorithi matatizo na dhiki zetu zote kwa njia ya kuzaliwa nayo kutoka kwa wazazi wetu yaani baba zetu na mama zetu, ndivyo tulivyorithi hali ya kufa kutoka kwa baba na mama wa wote wenye mwili. Tungehukumiwa kuingia kwenye hukumu ya mauti ya milele kama isingekuwa kwamba Mungu aliona ni vyema ampe mwanadamu nafasi nyingine kwa kumtuma mwanae (mzaliwa) wa pekee hapa duniani ili afe kwa ajili yetu yetu, Kwa ajili ya dhabihu ya jinsi hii, tunaweza kuishi milele iwapo tu kama tukiamini kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu na iwapo kama tutazishika amri zake.

RUDI KWENYE KURASA KUU