Yeye Hututia Nguvu

 

Yeye hutupa nguvu akituwezesha kutembea,

Ili tuweze kwenda kanisani,

Anatupa nguvu na uwezo wa kuona,

Ili tuweze kukiona kitabu chake,

Anatupa nguvu na uwezo wa kusikia

Ili tumjue Roho wake Mtakatifu,

Alitupa nguvu na uwezo wa kunena,

Ili tuweze kukariri maneno yake,

Na kuonja mkate wake tuulao,

Anatupa nguvu na uwezo wa kupanda,

Ili tuweze kuishi siku zote,

Yeye hututia nguvu tuweze kuishi,

Baada ya wengine wanapokufa miongoni mwetu.

 

Na: Stephanie Fyfe (umri wa miaka 11)

Sheria ya Haki miliki 9/10/2000

 

REJEA KWENYE UKURASA MKUU