AMRI KUMI ZA MUNGU

I. Usiwe na miungu mingine ila mimi.

II. Usijifanyie sanamu ya kuchonga.

III. Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako.

IV. Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.

V. Waheshimu baba yako na mama yako.

VI. Usiue.

VII. Usizini

VIII. Usiibe.

 

IX. Usimshuhudie jirani yako uongo.

X. Usitamani…cho chote alicho nacho jirani yako.

 

 

REJEA KWENYE UKURASA MKUU