Ukweli Usio Pingika
Je, kweli nini?
Je, imani ni nini?
Mungu anatupa majibu yake.
Haipo tu kama—bahati au mkosi.
Neno la Mungu ni hakika.
Linatueleza mpango wake.
Lakini mapokeo ya mwanadamu
ni mambo ya kubahatisha.
Mapokeo potofu ya kipagani
yatokanayo na mawazo ya mwanadamu
yamejikusanyia watu wengi katika kila taifa.
Mwanadamu amekosa subira,
hatamgoja Yehova.
Kwa hiyo muda wake wa kutawala,
Unafanana na nova inayokufa.
Basi na uitunze sana,
Na uiweke mahala pale.
Ni Yehova tu,
Ndiye unapaswa kumngojea.
Katika dunia ya Mungu,
na uamuzi wake.
Basi na uyafanye akuamuruyo,
Vinginevyo atakuona kama mpagani.
Na: JSF
10-12-2002