AMRI KUMI ZA MUNGU
|
I. Usiwe na miungu mingine ila mimi.II. Usijifanyie sanamu ya kuchonga.III. Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako.IV. Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.V. Waheshimu baba yako na mama yako. |
VI. Usiue.VII. UsiziniVIII. Usiibe.
IX. Usimshuhudie jirani yako uongo.X. Usitamani…cho chote alicho nacho jirani yako. |